Friday, 20 November 2015




Aidha Dr.Magufuli amesema azma yake ya elimu bure hadi kidato cha nne ipo pale pale na kuanzia mwakani amepiga marufuku mchango wa aina yoyote kwa shule za umma ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa hilo.asema: "Watu wazembe na wavivu wajiandae, tumewavumilia kwa muda mrefu na wakati wa kuvumiliana umekwisha.asema kuwajibisha mafisadi bila kuwaonea haya ya aina yoyote,
 
Pia amezungumzia mikakati yake ya kutekeleza kivitendo azma ya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati.

0 comments:

Post a Comment

wanaotutazama


hit counter

tz shiling exchange

MY CALENDAR

Total Pageviews

Recent Posts

find us on twitter

Find Us On Facebook

MATANGAZO