Saturday, 10 February 2018



Kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya St. Louis FC, Caf Champions League

1. Ramadhan Kabwili
2. Hassan Kessy
3. Gadiel Michael
4. Said Makapu
5. Kelvin Yondani
6. Papy Tshishimbi
7. Pius Buswita
8. Rafael Daudi
9. Obrey Chirwa
10. Ibrahim Ajib
11. Emmanuel Martin

Kikosi cha akiba

12. Beno Kakolanya
13. Juma Abdul
14. Nadir Haroub
15. Yusuph Mhilu
16. Said Mussa
17. Geofrey Mwashiuya
18. Juma Mahadhi






































































Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 10 Februari, 2018 amempandisha cheo na kumteua Bw. Mohamed Hassan Haji kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imefafanua kuwa Mhe. Rais Magufuli amempandisha cheo Bw. Mohamed Hassan Haji kutoka Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) na kuwa Kamishna wa Polisi (CP), na kisha kumteua kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar.

Kamishna wa Polisi Mohamed Hassan Haji amepandishwa cheo na kuteuliwa kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar kuanzia leo tarehe 10 Februari, 2018.

Kabla ya uteuzi huu Kamishna wa Polisi Mohamed Hassan Haji alikuwa Mhasibu Mkuu wa Polisi Zanzibar.

Kamishna wa Polisi Mohamed Hassan Haji anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Kamishna wa Polisi Hamad Omar Makame ambaye amestaafu.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
10 Februari, 2018

RAIS DKT. MAGUFULI AWAANDALIA MABALOZI SHEREHE YA MWAKA MPYA MABALOZI WANAOWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI (DIPLOMATIC SHERRY PARTY) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


























Baada ya kukamilisha kuhakiki majina ya watumishi wanaodai stahiki zao ikiwemo malimbiko ya mishahara na madeni mengine, serikali imeanika majina ya watumishi wa umma wanaopaswa kulipwa pesa zao.


BOFYA HAPA: 

new MAJINA YA WATUMISHI WA UMMA WANAOSTAHILI KULIPWA MADAI YAO






Thursday, 30 November 2017






















































































wanaotutazama


hit counter

tz shiling exchange

MY CALENDAR

Total Pageviews

Recent Posts

find us on twitter

Find Us On Facebook

MATANGAZO