
Mhubiri Nabii TB Joshua wa Nigeria ametua Jijini Dar leo kushuhudia kuapishwa kwa Rais Dkt. John P. Magufuli siku ya Alhamisi
-Mara tu baada ya kutua uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere, alikwenda Ikulu kumsalimia Rais Kikwete na kumpongeza kwa kufanikisha uchaguzi mkuu kwa uhuru na amani. TB Joshua amepongeza Rais Kikwete kwa kumpata Dkt. Magufuli kama mrithi wake, akimtaja Rais huyo mpya mteule kama Rais wa Tanzania wa Baraka na Fanaka tele katika awamu hii mpya. —

0 comments:
Post a Comment