Sunday, 8 November 2015
06:08
Unknown
No comments
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Dk. Hellen Kijo-Bisimba amekimbizwa hospitali baada ya kupata ajali ya gari leo na kujeruhiwa kiasi.Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Bi Hellen Kijo Bisimba anaendelea kupatiwa matibabu na vipimo katika hospitali ya Agha Khan jijini Dar es Salaam kufuatia ajali ya gari aliyopata leo asubuhi jijini Dar es Salaam.
Kaimu mkurugenzi wa kituo hicho Imelda Urio ameiambia ITV/Radio One Stereo kuwa Bi Hellen Kijo Bisimba na wenzake watatu waliokuwemo katika ajali hiyo wanaendelea vizuri na wengine wanaweza kuruhusiwa kurudi nyumbani. chanzo itv
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 comments:
Post a Comment