Saturday, 7 November 2015
09:12
Unknown
No comments
Dkt John magufuli ameiagiza serikali shughuli zote zinazotakiwa kufanywa nje ya nchi zifanywe na kusimamiwa na mabalozi wanaoiwakilisha tanzania nje ya nchi. uamuzihuo wa raisi ameutoa ikulu jijini dar es salaam katibu wakuu,watendaji na gavana benki kuu na TRA.
kwa mujibu wa taarifa ya ikulu kwa vyombo vya habari raisi ameelekeza kwamba
# Ziara nyingi zielekezwe kwenda vijijni ili kutatua kero za wananchi,
# Kuhakikisha wanafunzi wote wanaanza kupatiwa elimu ya bure kuanzia januari mwakani.
# Mikopo ya wanafunzi waelimu ya juu ifanyiwe kazi na mipango yake ikamilike vizuri.
# Kamishna wa TRA kusimamia kwa makini zoezi la ukusanyaji wa mapato na kutatua kero ndogo ndogo za wananchi zinazo wakabili.
# Usimamizi mzuri katika suala la manunuzi ya umma .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment