Baada ya mazungumzo ya miezi kadhaa
makubaliano ya kihistoria yametangazwa kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran
na mataifa 6 makubwa duniani.
Mawaziri wa mambo ya nje kutoka Iran
na mataifa sita zenye nguvu duniani wanakutana kwa mara ya mwisho huko
Vienna baada ya makubaliano rasmi kutatangazwa katika mkutano na
waandishi habari.Bi Mogherini amesema kuwa ni wazi mazungumzo ya kidiplomasia yanaweza kuleta mabadiliko makubwa ya sera kushinda makabiliano ya kijeshi ya miongo kadhaa.
Rais wa Iran , Hassan Rouhani, amesema kuwa majadiliano hayo yamekuwa na ufanisi mk
Makabuliano hayo pia yanatarajiwa kutoa ratiba ya kuondolewa kwa vikwazo vya kimataifa ilivyowekewa Iran.
Mkuu wa shirika la kudhibiti nishati ya nyuklia duniani ametoa maelezo kuhusu makubaliano yaliyoafikiwa.
Yukiya Amano amesema kuwa ''Iran imetia sahihi mpango wa kufafanua masuala yenye utata.''
Amano alisema kuwa anatarajia ukaguzi ulio kamili kwa mipango ya nyuklia nchini Iran ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.
Akitoa maoni yake kuhusu makubaliano hayo waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu ameyataja kuwa ''makosa ya kihistoria''.
CHANZO BBC

0 comments:
Post a Comment