Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imevipiga faini ya Shilingi milioni kumi na tisa vituo viwili vya Televisheni na kimoja Cha Redio kutokana na kukiuka maadili na kanuni za huduma za utangazaji ya mwaka 2005.
Uamuzi wa kuvipiga faini vituo hivyo vya habari umetolewa na Kamati ya Muadhui baada ya kupitia mashauri matatu na kujiridhisha kuwa wamekiuka maadili.
Kituo cha utangazaji cha ITV
kimepigwa faini ya shilingi milioni kumi kutokana na makosa mawili
ambapo kosa mojawapo ni kipindi cha KUMEKUCHA kutumika kumkashifu Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Tulia Akson.
Clouds Radio nao wamepewa onyo la kukiuka kanuni za huduma za utangazaji na kutozwa faini ya shilingi milioni 5 kutokana na Watangazaji wa kipindi cha JAHAZI kusikika wakishabikia taarifa ya ufanyaji ngono kati ya mtu na mbuzi.
Adhabu ya aina hiyo imewakumba pia wenzao wa Clouds Tv ambao wamepigwa faini ya shilingi milioni tano kwa kurusha hewani video za wimbo THANKS FOR COMING wa Mwana FA na BREAK IT DOWN wa Lil Bebbie zenye Picha za wanawake wakiwa nusu uchi katika muda ambao idadi kubwa ya watazamaji ni watoto.

Habari Kila mtu,
ReplyDeleteMimi nina Miller Porter Private mkopo Taasisi kwa wema Kazi sifa,
millerporter102@yahoo.com Kuomba leo kama unahitaji dharura
mkopo kutoka kampuni reputable, na hali nzuri na mahusiano ya kazi,
basi unapaswa kuwasiliana na sisi kama sisi kutoa mikopo kwa
kiwango cha bei nafuu maslahi ya 3% na kazi yako na sisi
itakuwa uzoefu mzuri. Kama una nia, wasiliana
nasi kwa barua pepe: millerporter102@yahoo.com
+2349057519652
millerporter102@yahoo.com
http://millerporter102.wix.com/potterfirms
Mimi wakisubiri majibu yako mwepesi
Mr Miller Porter