
Nimewasili mkoa wa Rukwa,nimefanya ukaguzi wa magereza na kuzungumza na askari wa idara zote za jeshi la polisi.Lengo ni kujiridhisha na hali ya usalama wa mipaka, raia na mali zao,kutambua kiwango cha changamoto mbalimbali kwa kila idara ya polisi(mambo ya ndani) kwa kila mkoa.
Zaidi tunawekeza katika uboreshaji wa mazingira ya kazi na mfumo wa kisasa wa kusimamia usalama wa raia wetu na mali zao.
"Usalama wetu,jukumu letu sote"









0 comments:
Post a Comment