Tuesday, 1 December 2015


Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru, inapenda kuutangazia Umma kufutwa kwa posho zote za vikao vya kamati za bunge.
Serikali pia imefuta posho za vikao vya bodi za taasisi za umma ili pesa hizo zitumike katika kuwasaidia wananchi na si watu wachache.
Pia Serikali inatazamia kupunguza wafanyakazi mizigo na pengine kufuta mashirika ya Umma ambayo hayazalishi bali ni kulitia Taifa hasara. Sekta hizo ambazo wafanyakazi wake watapunguzwa ni kama vile TRA, TANAPA, TRL, NHC, BANDARI (TPA) na mengine mengi.

0 comments:

Post a Comment

wanaotutazama


hit counter

tz shiling exchange

MY CALENDAR

Total Pageviews

Recent Posts

find us on twitter

Find Us On Facebook

MATANGAZO