Tuesday, 24 November 2015


Mh Kassim Majaliwa ametembelea ofisi ya tamisemi ambapo ameshangazwa na mradi wa mabasi yaendayo kasi kutokufanya kazi.Waziri Mkuu Mh.Majaliwa ameitaka TAMISEMI kujieleza ni kwanini mradi wa mabasi yaendayo kasi DART haujaanza hadi sasa.
Waziri Mkuu Mh.Majaliwa ameitaka TAMISEMI kujieleza ni kwanini mradi wa mabasi yaendayo kasi DART haujaanza hadi sasa.Ameagiza watendaji wote wa wizara ya TAMISEMI, akiwemo Katibu Mkuu wa Wizara ya TAMISEMI kufika Ofisini kwake kesho asubuhi kueleza kwa nini mabasi hajaanzana kazi wakati miundombinu imeshakamilika.Ameyasema hayo leo alipotembelea Wizara ya TAMISEMI na kuongea na watendaji wa wizara hiyo.

0 comments:

Post a Comment

wanaotutazama


hit counter

tz shiling exchange

MY CALENDAR

Total Pageviews

Recent Posts

find us on twitter

Find Us On Facebook

MATANGAZO