Thursday, 5 November 2015



Rais wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli amewashukuru wa Tanzania viongozi wa dini vyama vya upinzani na watu mbali mbali waliohudhuria wakati wa kuapishwa na kusema kuwa kuchaguliwa kwake atafanya kazi kwa bidii kwani ana deni kubwa na atatanguliza mbele maslahi ya Taifa bila kujali vyama ili kupeleka mbele maendeleo ya Taifa.
Amezungumza hayo muda mfupi baada ya kuapishwa na kusema kuwa watanzania wamuunge mkono yeye na Makamu wake wa Rais Samia Suluhu Hassan ili kuleta maendeleo ya taifa hivyo kikubwa ni kumtanguliza mungu mbele kwanza

0 comments:

Post a Comment

wanaotutazama


hit counter

tz shiling exchange

MY CALENDAR

Total Pageviews

Recent Posts

find us on twitter

Find Us On Facebook

MATANGAZO