Wednesday, 4 November 2015



Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Dk. Charles Msonge amesema pamoja na kesho kutangazwa siku ya mapumziko, lakini mitihani ya kidato cha nne itaendelea kama ratiba ilivyo, hivyo wanafunzi wasikose kwenda shuleni.
baada Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa dkt Jakaya Mrisho kikwete ameamua na ameitangaza kesho alhamisi novemba 5 mwaka huu sikukuu na kuwa siku ya mapumziko.

0 comments:

Post a Comment

wanaotutazama


hit counter

tz shiling exchange

MY CALENDAR

Total Pageviews

Recent Posts

find us on twitter

Find Us On Facebook

MATANGAZO