Thursday, 12 November 2015
19:21
Unknown
No comments
Siku moja tu mara baada ya rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli kufanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya taifa ya Muhimbili na kukuta baadhi ya mashine zikiwa hazifanyi kazi, mashine hizo zimeanza kufanya kazi baada ya agizo la rais kutaka zifanye kazi ndani ya siku saba.
Jumatatu ya November 09, 2015 rais Dr John Pombe Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza katika hospitali hiyo na kukuta mashine ya Magnetic Reasonance Imaging yaani MRI na CT Scan zikiwa hazifanyi kazi kwa zaidi ya miezi miwili kutokana na ubovu na kutaka mashine hizo zifanye kazi katika kipindi cha ndani ya siku 7 na si zaidi ya sik
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment