Tuesday, 6 October 2015




Polisi nchini Australia wamewakamata watu wanne kuhusiana na mauaji ya mfanyakazi mmoja wa polisi.
Mauaji hayo yametokea nje ya makao makuu ya polisi ya South Wales.
Polisi wanasema kuwa mauaji ya Curtis Cheng mjini Sydeny siku ya ijumaa yalihusiana na ugaidi.
Mtu wa umri wa miaka 15 mkurdi wa asili ya Iraq ambaye alimuua mfanyakazi huo naye aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi.chanzo bbc

0 comments:

Post a Comment

wanaotutazama


hit counter

tz shiling exchange

MY CALENDAR

Total Pageviews

Recent Posts

find us on twitter

Find Us On Facebook

MATANGAZO