Thursday, 8 October 2015



Jopo maalum la wanyama pori nchini Tanzania limewakamata baadhi ya raia wa Uchina wanaoshukiwa kusafirisha pembe za ndovu.
Makundi ya kampeni dhidi ya uwindaji haramu yanasema kuwa wale waliokamatwa ni pamoja na mwanamke aliyepewa jina la utani 'Malkia wa pembe za ndovu' Yang Feng Glan.
Wahifadhi wameitaja Tanzania kama shina la uwindaji haramu wa pembe za ndovu, na kuongezea kuwa ndovu 8,500 waliuawa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita..chanzo bbc


0 comments:

Post a Comment

wanaotutazama


hit counter

tz shiling exchange

MY CALENDAR

Total Pageviews

Recent Posts

find us on twitter

Find Us On Facebook

MATANGAZO