Monday, 26 October 2015

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa timeti ya CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad

MGOMBEA wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad ameitisha mkutano wa waandishi wa habari na kutangaza matokeo ya kura ya urais visiwani humo.
“Baada ya kukusanya matokeo yote, nimepata kura 200,007 dhidi ya kura 178,363 za mgombea wa CCM anayetetea nafasi yake, Dk. Ali Mohammed Shein.”
Maalim Seif ameitika Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kutangaza matokeo halisi kama yalivyo kwenye fomu zinazotoka vituoni. chanzo mwanahalisi

0 comments:

Post a Comment

wanaotutazama


hit counter

tz shiling exchange

MY CALENDAR

Total Pageviews

Recent Posts

find us on twitter

Find Us On Facebook

MATANGAZO